top of page
God Of Hope page 1.png

Ukurasa wa I: Mungu wa Matumaini

Muda.  7:10 min.

Inasemekana kuwa MATUMAINI ni uthibitisho wa uhakika kwamba Mungu ni mwaminifu, kwamba atakamilisha alichoanza. Kwa hiyo pia ni tarajio lile la uhakika linalongojea kwa saburi na kwa bidii makusudi ya Mungu kutimizwa.

 

Tunawatia moyo ninyi nyote mnaopitia kila jambo ambalo maisha yamewatupa mshikilie ahadi za Mungu na mjue kwamba kuna nuru mwishoni mwa kila pambano. Jipe Moyo.

Comments

Share Your ThoughtsBe the first to write a comment.
bottom of page